Wednesday, November 16, 2005

Saratani yazidi kuongezeka shauri ya kubwia pombe

Soma habari hii inayotoa onyo juu ya ongezeko la saratani kutokana na kunywa kupindukia. Bonyeza hapa

4Comments:

At 9:13 AM, Blogger Egidio Ndabagoye said...

Indya
hii habari kuna watu wangu fulani imewashtua sana.

 
At 3:32 PM, Anonymous Anonymous said...

Egidio, kama unanisema na miye. Hii habari imenitisha! Awali, nilijua athari za kinywaji hiki ni kupunguza kasi ya akili kwa muda(kulewa), kufuja siha ya akili na mwili, kufuja pesa, kujivunjia heshima, na kuzembea majukumu. Kumbe inadororesha na mdomo. Nafikiria kujitoa uanachama kwenye kilabu hiki.

Asante kwa ujumbe.

F MtiMkubwa Tungaraza.

 
At 7:58 PM, Blogger Innocent said...

Sasa mimi nakunywa kiasi: chupa moja kwa wiki,itabidi nifikirie kuacha kabisa.
Nkya, sasa tule au tunywe nini?Kila kitu kina madhara.
Tumekwisha.

 
At 8:13 PM, Blogger Indya Nkya said...

Kila kitu kwa kweli kina madhara yake. Kinachozungumzwa hapa ni kule kubwia kupindukia. Wale waliotishwa na habari hii kama Mti mkubwa na wengine, ni kupunguza unywaji na ukiweza acha kabisa.

 

Post a Comment

<< Home

KITABU CHA WAGENI