Wednesday, November 09, 2005

Makala kuhusu Askari kuwachapa Raia

Bwana Sakito Mallya ameandika maoni yake kuhusu Askari wa Tanzania kuwapa kipigo raia. Makala hiyo ilitoka kwenye Gazeti la Rai la tarehe 3/11/2005. Unaweza kuisoma kwa kubonyeza hapa

2Comments:

At 9:26 PM, Blogger Innocent said...

Hebu niambie nitasomaje hili gazeti la Rai mtandaoni?

 
At 12:55 PM, Blogger Indya Nkya said...

Aisee hili gazeti haliko mtandaoni. Ni kwamba kuna makala chache za watu tunaowafahamu ndio huzipata na kuziweka. Nina imani wataliweka karibuni.

 

Post a Comment

<< Home

KITABU CHA WAGENI