Monday, November 07, 2005

Mabaki ya kanisa la kale yagunduliwa.

Jamaa mmoja kagundua mabaki ya kanisa ambalo pengine lilijengwa kwenye karne ya tatu au ya nne katika nchi "Takatifu"-Israel. Jamaa wanasemakwamba itavutia sana utalii shauri ya imani waliyo nayo wakristo kuhusu Kanisa, Yesu na nchi Takatifu. Wanabashiri kwamba utalii utaongezeka kwa nguvu sana. Hata kama jamaa wamedanganya ili kukuza sekta ya utalii bado watapata tuu. Soma habari hiyo hapa

1Comments:

At 4:39 PM, Blogger Ndesanjo Macha said...

Nimependa ulivyosema, "nchi takatifu." Mimi naongeza, "nchi takatifu kuliko zote duniani"! Asante kwa kiungo hiki.

 

Post a Comment

<< Home

KITABU CHA WAGENI