Saturday, October 29, 2005

Barua kwa rais mtarajiwa

Kuna Wazalendo wawili waliomwandikia rais mtarajiwa barua wakimtafadhalisha kwamba serikali ijayo ifanye mambo ya muhimu kwanza. Barua hiyo imetoka kwenye gazeti la Rai la Alhamis tarehe 27/10/2005. Unaweza kuisoma kwa kubonyeza hapa. Ukiwa na la kuwauliza waandikie: sakitomalya2001@yahoo.co.uk

3Comments:

At 12:09 PM, Blogger Ndesanjo Macha said...

tunauziwa hadi juisi toka jangwani sio wakati matunda yanaozea mashambani.

 
At 8:44 PM, Blogger Jeff Msangi said...

Barua nzuri sana hii.Utaratibu wa kujisomea magazeti nadhani unawapinga chenga wagombea wengi.Inabidi pindi raisi mpya akipatikana barua hii itumwe kwa UPS,DHL,FEDEX,POSTA,NMM na kila njia ifike pale Magogoni.

 
At 10:44 AM, Blogger Indya Nkya said...

Nitahakikisha inamfikia Magogoni Jeff.

 

Post a Comment

<< Home

KITABU CHA WAGENI