Tuesday, October 18, 2005

Misaada ya Nje jamani!!

Katika soma soma yangu nimekutana na sentensi ifuatayo: "At one point in Tanzania, the total for government wages and salaries (which are taxed) was $100 million, while the salary bill for technical assistants supplied under aid programs (and not taxed) was $200 million". Yaani mishahara inayotokana na misaada ambayo hailipiwi kodi kwa wakati huo ilikuwa mara mbili ya ile serikali. Tunapoteza kodi kiasi gani?

4Comments:

At 9:18 AM, Blogger Ndesanjo Macha said...

Imenishtua. Lakini pia haijanishtua. Asante kwa kutufahamisha.

 
At 9:59 AM, Blogger Egidio Ndabagoye said...

Mmm! Hii kiboko.

 
At 9:22 AM, Blogger mloyi said...

usishangae sana, tena nakuambieni hao watoa misaada niliambiwa ndiyo wanaolipa mishahara wafanyakazi wa serikali yetu. sijui kwa njia gani na nani anasema ukweli, kati ya serikali na watakwimu hao.
au ndio muendelezo wa ile hadithi, paukwa pakawa, how europe is underdeveloping afrika?.
Mkumbuke Walter Rodney, akupe ukweli uwe huru.

 
At 2:39 PM, Anonymous distance education said...

I guess we are the ones to blame for all this we are too dependent on the donations from abroad and we can't get any tax from such donatons.

 

Post a Comment

<< Home

KITABU CHA WAGENI