Sunday, May 08, 2005

Sadaka na Rambirambi

Soma habari ya mchanganyiko wa sadaka na rambirambi hapa

1Comments:

At 3:29 PM, Blogger Kessy Inno. said...

Ndio dunia ya leo ilivyoharibika,nakwambia ni afadhali mtu uwe unaishi bila kuamini dini lakini unatendea wema wenzio kuliko kwenda kanisani,kuimba mapambio kwa sana huku kuishi ukristo ni ziro.
Dunia imeoza kwa hali kama hii.

 

Post a Comment

<< Home

KITABU CHA WAGENI