Saturday, May 07, 2005

Uchaguzi wa kihstoria

"Katibu wa Msikiti wa Mtambani, Sheikh Abdallah Ally alisema uchaguzi wa safari hii utakuwa ni wa kihistoria kwa sababu itakuwa ni mara ya kwanza kwa viongozi wa ngazi ya juu serikalini wote kuwa Waislamu. "Yaani Rais Mwislamu, Makamu wake Mwislamu na Rais wa Zanzibar Mwislamu. Katika awamu zilizopita ilikuwa haijawahi kutokea hivyo. Hii itafuta ile dhana kwamba Waislamu hawana elimu," alisema Sheikh Ally". Soma mawazo ya Sheikh huyu zaidi hapa

1Comments:

At 6:43 AM, Anonymous Anonymous said...

Kwahiyo ina maana waarabu ndio watarudishwa kuja kututia tena mijeledi?

 

Post a Comment

<< Home

KITABU CHA WAGENI