Tuesday, May 03, 2005

Mke wa Kibaki katoa mpya

Mama Kibaki katoa Mpya. Bonyeza hapa

2Comments:

At 2:55 PM, Blogger mwandani said...

Amaa, mbona mambo haya yanatisha!
Lucy kibaki kamzaba kibao mwandishi, kazima tafrija ya wageni wa kimataifa!
kalewa ukubwa!Na mumewe kakaa kimya kama hana mamlaka ya kumtia kwenye mstari.
Bahati yake, angekuwwa sio mke wa rais angewajua Wanaume wa Kikenya!

Baada ya yote - karibu mtandaoni.

Mwandani

 
At 2:40 AM, Blogger akiey said...

Inaelekea kuwa Mama Taifa wetu amekuwa na matatizo ya bongo bila wengu wetu kuyafahamu.
Kwa miaka miwili iliyopita tumekuwa tukifanya mzaha tu kuhusiana na vijishindo na vijishida vyake vya hapa na pale. Tulidhania ni kuteleza tu wala si kuanguka lakini sasa naona ni kesi ya kutafutana na wataalamu wa afya za bongo. Balaa kweli hii.
PS: Karibu sana katika ulimwengu wa blogi:)

 

Post a Comment

<< Home

KITABU CHA WAGENI