Tuesday, May 03, 2005

Hodi hodi

Naingia kwenye ukumbi wa blogu kwa kuwaambia watu- Amka kumekucha. Muda wa kuanza kubadilika kifikira ndio huu japo tumechelewa. Blogu hii itakuwa inahamasisha fikra mpya. Kuamsha mijadala. Jadili bila jazba. Toa maoni bila kuogopa kupingwa. Tutapingana pasi na kupigana. Tutapigana kimawazo na sio kwa ngumi, mapanga na bunduki. Tutaanza na hoja ya utamaduni wa amani. Tutaujengaje? Hoja zijadiliwe bila jazba. Naingia sasa ukumbini

1Comments:

At 9:53 PM, Blogger Ndesanjo Macha said...

Karibu mwanakwetu, tutoe matongotongo akilini. Tuanze safari ya ukombozi wa fikra na mtazamo!

 

Post a Comment

<< Home

KITABU CHA WAGENI