Sunday, May 08, 2005

Dawa za kulevya zinabwiwa mchana kweupe Dar

Soma habari hii ya kusikitisha hapa uone jinsi vijana wanavyoharibiwa na dawa za kulevya. Mtaalam Profesa Kilonzo anaona jamii nzima ina cha kufanya kwa hili; wazazi, vyombo vya sheria, vyombo vya dola na vijana wenyewe.

1Comments:

At 12:21 PM, Anonymous Isae said...

Kweli kabisa kuhusu shule za boarding. Watoto wanaokwenda huko wakati bado wadogo ni rahisi kuanza kuvuta bangi.

 

Post a Comment

<< Home

KITABU CHA WAGENI