Maisha yetu baada ya Miaka 50
Kwa wale wasomaji wa makala za Padre Karugendo, naweka makala yake moja ambayo aliiandika kama changamoto kwa waliofikisha umri wa miaka 50 mwaka huu. Yeye ni mmojawapo wa hao waliofikisha umri huo. Unaweza kuisoma kwa kubonyeza hapa
1Comments:
mungu akubariki Padri Karugendo na wenzio wate mliofikisha miaka 50..mmefikia kipindi cha dhamana kubwa kuhakikisha wadogo zenu haturudii makosa....na kutuelekeza kwa upendo!
Post a Comment
<< Home