Thursday, August 18, 2005

Simba wazidi kuua watu

Kuna hii habari hapa inayoonyesha jinsi ambavyo idadi ya watu wanaouawa na simba imekuwa ikiongezeka Tanzania. Kuna maeneo mengine watu huamini kabisa kwamba hawa si simba wa kawaida. Huwa wanatumwa kula watu fulani fulani. Kwa maeneo kama hayo hawa huitwa simba watu.

1Comments:

At 1:51 AM, Blogger Ndesanjo Macha said...

Unajua hawa simba kule Singida wanaitwa Mbojo. Eti ni watu wanajigeuza kuwa simba. Huu utalaamu itabidi siku moja uwe unafundishwa vyuoni, au unasemaje?

 

Post a Comment

<< Home

KITABU CHA WAGENI