Wednesday, July 13, 2005

Wanahabari ni muhimu kusoma hii

Hii tovuti ya John Pilger ni nzuri sana hasa kwa wana habari. Ipitie hapa halafu soma hii habari hapa

1Comments:

At 8:44 PM, Blogger Ndesanjo Macha said...

Nkya, asante kwa kiungo kuhusu Pilger, huyu bwana mtu akiweza kusoma vitabu vyake na kutazama sinema zake hatajilaumu. Asante.

 

Post a Comment

<< Home

KITABU CHA WAGENI