Monday, July 04, 2005

Huenda Afrika ikagawanwa

Nahisi huo Mkutano wa G8 utakuja na mkakati wa kugawana maeneo Afrika. Kila mshirika atapewa vipande ambavyo ataambiwa avipe kipaumbele katika kutoa misaada. Kila nchi inaweza kukabidhiwa eneo Afrika kutokana na umahiri katika sekta fulani. Marekani nahisi itakuwa ni Equtorial Guinea, Cape Vedre, Chad sijuhi na ipi. Na nyingine zitachagua maeneo kutokana na uwezo wa kampuni zake kugecha rasilimali za Afrika. Ikitokea hivyo usishangae. Ndiyo Berlin Nyingine hiyo!!

1Comments:

At 2:09 PM, Anonymous Anonymous said...

Tayari wapo wanafyonza mafuta kila leo. Angalia majina ya makampuni yaliowekeza nchi zenye mafuta. Hata Gadafi kawapa mafuta hivi majuzi.
Tunga

 

Post a Comment

<< Home

KITABU CHA WAGENI