Thursday, June 30, 2005

Tuna matatizo gani?

Je unajua kwamba shirika la ndege la Afrika ya Kusini SAA ambalo lilichukua ATC linamilikiwa na Serikali? Mbona wao wanaweza mpaka wananunua mali za shirika la serikali nyingine? Yaani tunatoa mali yetu inayomilikiwa na serikali yetu kwa serikali ya nchi nyingine. Hamu sina.

1Comments:

At 2:08 AM, Blogger Ndesanjo Macha said...

Hii ni kweli? Ajabu kweli, serikali ya nchi moja inachukua shirika la ndege lililokuwa likimilikiwa na serikali nyingine. Lahaula!

 

Post a Comment

<< Home

KITABU CHA WAGENI