Monday, May 09, 2005

Makala mbili

Nimeweka makala mbili nilizoandika. Moja inaitwa utamaduni wa amani. Isome kwa kubonyeza hapa na nyingine inaitwa habari za udaku. Isome hapa

1Comments:

At 7:09 PM, Blogger msangimdogo said...

Nilikuwa napitia pitia kazi yako kuhusu demokrasia au Mkumbokrasia, hakika imenifurahisha sana kwasababu umezungumzia kitu ambacho nami nakifanyia kazi na katika siku za karibuni huenda ukaisoma hiyo kazi. Kaza uzi ndugu

 

Post a Comment

<< Home

KITABU CHA WAGENI