Tuesday, May 16, 2006

Mkataba wa IPTL na sheria ya Takrima imetufunza nini?

Kwa wiki kadhaa sasa tumekuwa tukijadili na kufurahia sana kufutwa kwa sheria ya Takrima na Ile ya kumzuia mgombea binafsi. Lakini kuna uwezekano wa hawa jamaa wakarudi mahakama ya rufaa kukatia rufaa rushwa. Pia tumeisoma taarifa jinsi tulivyoingizwa pabaya na Wamalasia na Watanzania wenye uroho wa pesa kwenye mkataba wa IPTL. Inabidi katika mviringo wetu wa Blogu pamoja na kwenye magazeti tuanze kujadili kwa kina kabisa baadhi ya wahusika ili jamii iwajue. Kwa mfano; Andrew Chenge, aliyekuwa mwanasheria mkuu wa Serikali ametajwa kama mhusika mkubwa sana kwenye IPTL. Alihusika kwa mambo mawili; kwanza kama mwanasheria mkuu wa Serikali ofisi yake inahusika na kutoa ushauri kwa serikali kwa mambo yote ya kisheria; lakini la pili ni kwamba alikuwa kikwazo katika kutoa pingamizi la kukamatwa kwa Rwegamarila ashitakiwe kwa rushwa kwa kudai hakuna ushaidi.
Hakuna ubishi kwamba Chenge na ofisi yake ni mhusika na Mhandisi wa Sheria ya Takrima. Alikuwa anaitetea kweli. Wakati mwingine alikuwa akiwatukana wabunge waliokuwa wakihoji hiyo sheria. Ni kweli kwamba sheria hiyo imemsaidia kuingia tena bungeni sasa. Jamani mtu huyu tena kapewa wizara ya Afrika mashariki. Hii ni wizara ambayo inahitaji umakini mno. Tunaongelea ushirikiano na baadaye shirikisho. Katika kipindi cha Mpito kutakuwa na makumi ya mikataba. Chenge anaweza kuisimamia?
Chenge na ofisi yake pia wanahusika na mikataba yote mibovu ambayo sasa Serikali inakiri kwamba itarekjelewa upya. Sasa sijuhi kama atatuvusha katika jahazi hili la ushirikiano wa Afrika Mashariki. Ni lazima mambo haya yavaliwe njuga.

2Comments:

At 3:39 AM, Blogger Simon Kitururu said...

Tatizo la Tanzania ni kwamba watu wengi hawajui hatima ya mambo yafanyayo na mashirika, hata serikali yetu. Nashukuru sasa kuna mablogi ambayo yanaweza kuangalia mambo haya kiundani. Lakini inatakiwa tugundue mambo haya kabla hayajatuaathiri. Kwa mafano sasa hivi unasikia sifa nyingi kwa Mkapa lakini , Je, nini kinachoendelea ambacho kinatakiwa kiwe wazi Kabla mambo kama ya IPTL hayajatokea?

 
At 1:17 PM, Blogger lolyta said...

I want to encourage you to definitely continue your great
job, have a nice evening!

selaput dara buatan
selaput dara keperawanan
selaput keperawanan
Jual Selaput Dara
selaput dara palsu
selaput dara

MACAM - MACAM ALAT BANTU SEX PRIA DEWASA

JUAL BONEKA SEKS FULL BODI TERBARU


JUAL VAGINA PANTAT BERTATO GETAR SILIKON


JUAL TENGA ALAT BANTU SEX


JUAL ALAT BANTU ONANI FLESHLIGHT


JUAL VAGINA PINGGUL FULL SILIKON


JUAL VAGINA BULU GETAR

MACAM - MACAM ALAT BANTU SEX WANITA DEWASA.


JUAL VIBRATOR FANTASY BLISS MURAH


JUAL ALAT BANTU WANITA VIBRATOR THORN DRAGON


JUAL SEX TOYS HAPPY SOME


JUAL PENGGELI PUTING PAYUDARA


PENGGELI VAGINA TERBARU MIC


JUAL C-STRING ALAT SEX WANITA



PENGOBATAN DAN OBAT KESEHATAN HERBAL ALAMI


SEMENAX OBAT HERBAL PENYUBUR SPERMA


OBAT PERANGSANG UNUTUK PRIA ATAU WANITA


OPIUM SPRAY

JUAL PERANGSANG RED SPIDER CAIR



OBAT DAN ALAT PEMBESAR PENIS

VMENPLUS HERBAL

VIMAX PEMBESAR PENIS DEWASA

MAXMAN CAPSULE

PRO EXTENDER

VMENPLUS
VMENPLUS HERBAL
PEMBESAR PENIS ALAMI
OBAT EJAKULASI DINI
OBAT VMENPLUS

 

Post a Comment

<< Home

KITABU CHA WAGENI