Thursday, April 13, 2006

Urasimu Mpaka lini?

Kuna Mtanzania mmoja anayeishi nchini Marekani ameandika maoni kwenye blogu yangu jinsi urasimu ulivyo kwenye pasipoti mpya. Nachapisha maoni yake hapa chini. Je na wengine mmepata matatizo kama haya? Lazima nikiri kwamba mimi binafsi sikupata tatizo lolote lakini sipo Marekani. Nipo Kusini.

Urasimu mpaka marekani!! Mimi ni mgeni kwenye blog yetu hii na ni mtanzania ninayeishi marekani.Kuna jambo moja linalosumbua vichwa sana hasa kwa tuliopo huku,jambo hili ni urasimu ulikithiri kwenye ubalozi wetu wa huku.Ni swala la passport mpya ambazo tumelipishwa fedha nyingi kwa kufanya process ya kubadilisha,kuna state tumelipa karibu dollar 95(laki na upuuzi kwa fedha zetu za madafu).Toka mwezi wa sita/saba 2005 kwa malengo ya kutumiwa kwenye address zetu by sept/octoba 2005.Cha kushangaza sana ni kuwa huyu ndugu wa marehemu Sokoine alitumia nafasi hii kujitengenezea fedha kisha kuingia mitini.Kama tulilipa ghalama zote ili passport zetu zitumwe kwenye makazi yetu,inakuaje tena tunatakiwa tuzifuate washington?Waliojaribu kwenda DC walitakiwa kutoa hongo ili kupata passport zao.This is bullshit wewe bwana sokoine,tambua kuwa fedha zile watu hawakuziokota bali ni kuzifanyia kazi.Keep in your freak-ass mind,next time unakuja Kansas,tegemea kukabiliana na bakora za maana.Acha kuharibu jina la marehemu wewe,na kama ulihitaji fedha ungesema mapema tukatafuta njia ya kukusaidia.

4Comments:

At 11:34 AM, Blogger mwandani said...

jana ilikuwa tarehe 12 Aprili, siku Sokoine alipoaga dunia, Nimeona jina Sokoine hapo kwenye ujumbe...
Urasimu mpaka lini? Hizi paspoti kero tupu. Walituvuta mkukumkuku hata huku... Haki yetu na masharti juu.

 
At 11:39 AM, Blogger Chesi said...

majuzi kwenye gazeti fulani la kibongo wametoa habari na picha ambayo inaonyesha mheshimiwa fulani akionyeshwa rundo la pasipoti mpya ambazo inadaiwa kuwa wenyewe hawajafika kuzichukua. zilikuwa ni nyingi tu. isije ikawa miongoni mwao ziko za ndugu zetu walioko nje.......

 
At 9:01 PM, Anonymous Anonymous said...

Naomba nimtetee ndugu yetu Sokoine, wengi wetu tumezipata pasipoti zetu siku nyingi mno... baadhi ya watu either walibadilisha address, walikosea address zao au hawakupiga simu ubalozini kufuatilia pasipoti zao. Baada ya mwezi kupita nilipiga simu ubalozini (Washington) na nilipata pasipoti wiki hiyohiyo

 
At 1:17 PM, Blogger lolyta said...

I want to encourage you to definitely continue your great
job, have a nice evening!

selaput dara buatan
selaput dara keperawanan
selaput keperawanan
Jual Selaput Dara
selaput dara palsu
selaput dara

MACAM - MACAM ALAT BANTU SEX PRIA DEWASA

JUAL BONEKA SEKS FULL BODI TERBARU


JUAL VAGINA PANTAT BERTATO GETAR SILIKON


JUAL TENGA ALAT BANTU SEX


JUAL ALAT BANTU ONANI FLESHLIGHT


JUAL VAGINA PINGGUL FULL SILIKON


JUAL VAGINA BULU GETAR

MACAM - MACAM ALAT BANTU SEX WANITA DEWASA.


JUAL VIBRATOR FANTASY BLISS MURAH


JUAL ALAT BANTU WANITA VIBRATOR THORN DRAGON


JUAL SEX TOYS HAPPY SOME


JUAL PENGGELI PUTING PAYUDARA


PENGGELI VAGINA TERBARU MIC


JUAL C-STRING ALAT SEX WANITA



PENGOBATAN DAN OBAT KESEHATAN HERBAL ALAMI


SEMENAX OBAT HERBAL PENYUBUR SPERMA


OBAT PERANGSANG UNUTUK PRIA ATAU WANITA


OPIUM SPRAY

JUAL PERANGSANG RED SPIDER CAIR



OBAT DAN ALAT PEMBESAR PENIS

VMENPLUS HERBAL

VIMAX PEMBESAR PENIS DEWASA

MAXMAN CAPSULE

PRO EXTENDER

VMENPLUS
VMENPLUS HERBAL
PEMBESAR PENIS ALAMI
OBAT EJAKULASI DINI
OBAT VMENPLUS

 

Post a Comment

<< Home

KITABU CHA WAGENI