Monday, September 26, 2005

Makala za Padre Karugendo tena

Naweka makala nyingine tano katika kona ya Padre Karugendo. Moja inahusu maslahi ya Taifa. Isome hapa. Soma pia hii hapa inayosema sera tofauti lakini lengo ni lile lile. Halafu kuna nyingine mbili zinazohusu utakatifu wa Mwalimu Nyerere. Zisome Hapa na Hapa. Kwa leo ya mwisho inasema Kanisa si upinzani. Unaweza ukaisoma hapa. Nitaweka makala nyingine siku za karibuni.

2Comments:

At 4:47 AM, Blogger Ndesanjo Macha said...

Nkya, nimerudi. Tupo. Hongera kwa kazi, makala za padri na kila kitu...na hiyo ya masikini pale marekani kwa bladifuu kichaka safi sana...katrina ndio imefunua pazia kwa dunia nzima kuona ubepari sura yake halisi.
tutwasiliana kuna mengi.

 
At 3:34 PM, Blogger Reginald S. Miruko said...

padri huyu kweli anapasua mawe. Mpe ongera zake

 

Post a Comment

<< Home

KITABU CHA WAGENI