Monday, September 19, 2005

Makala ya Kuruwiji

Naweka makala nyingine ya Padre Karugendo inayoitwa Kuruwiji. Ni makala ya kuvutia mno. Isome hapa. Soma hii nyingine hapa inayoitwa wanawake na uongozi

2Comments:

At 9:16 AM, Blogger mwandani said...

Nimesoma haya mambo ya kuruwiji.Aliyosema padri kweli tupu.
Kwa nini wakipata madaraka wanakaa kimya. akina kuruwiji wanabadilika kila kukicha. pengine tofauti ya wanasiasa wa leo na wale wa wakati wa uhuru ni kuwa wanasiasa wa sasa wanachukulia siasa kama ajira bila ya 'conviction' ya namna yoyote. Hawana wanaloamini.

 
At 8:16 PM, Blogger Indya Nkya said...

Hakuna wanaloamini, hawana itikadi wala dira. Siasa ni ajira, tena ajira rahisi kuliko zote. Ndio maana sasa watu wanataka kuuana si kweli eti wana lolote wanaloweza kufanya au wana dira yoyote ya kuendeleza taifa. hakuna. ni ajira rahisi unapiga mdomo unalipwa basi.

 

Post a Comment

<< Home

KITABU CHA WAGENI