Monday, March 09, 2009

Wikipedia- Kiswahili

_Watanzania wote wanakaribishwa kuchangia habari za mahali
wanapoishi au wanapotoka katika wikipedia ya Kiswahili! (sw.wikipedia.com) Ijulikane ya
kwamba wikipedia ni mradi mkubwa wa elimu unaojengwa na wachangiaji
wanaojitolea bila malipo yoyote. Kila mtu anakaribishwa kuchangia!

Kwa sasa tumeanzisha makala fupi za kila kata kwenye mikoa ya Arusha,
Dar es Salaam, Dodoma, Iringa, Kilimanjaro, Kigoma, Lindi, Mara, Mwanza,
Mbeya, Manyara, Morogoro, Mtwara, Pwani na Tanga.

Angalia ukienda anwani hii: sw.wikipedia.org/wiki/Mkoa_wa_Arusha.

Chini kuna sanduku inayoonyesha mikoa yote. Ukiingia katika mkoa fulani unapata majina ya
wilaya. Kila safari ukibonyeza kwenye neno lenye rangi ya buluu
unapelekwa kwenye makala mpya. Ukifika kwenye wilaya utaona sanduku
lenye majina ya kata za eneo hili. Makala mengi yana habari fupi tu kama
"ABC ni kata ya wilaya DEF katika Mkoa wa XYZ. Idadi ya wakazi wake
ilihesabiwa kuwa xxxxx katika sensa ya 2002". Kila mtu yuko huru
kubonyeza kwenye sehemu ya "hariri" juu ya makala na kuongeza habari.
Baada ya kuongeza habari unabonyeza sehemu ya "Hifadhi ukurasa" iliyoko
chini.

Si vigumu na hapa unaweza kuingiza habari juu ya watu, historia,
utamaduni na taasisi zilizopo katika eneo la kata hii.

Karibuni sana tutawaarifu wakati mikoa mingine itakuwa tayari!

49Comments:

At 3:39 PM, Blogger boniphace said...

Nkya nimekusoma; kweli tulisahau kuingia hapo kwa muda sasa lakini kuna umuhimu wa kupajenga maana watu wengi sasa wanatumia wikipedia ta Kiingereza kwa ajili ya kupata taareifa mbalimbali. Enewei comment hii inaambatana na salamu baada ya kimya cha muda mrefu

 
At 5:04 PM, Anonymous Pete said...

hi,
Good blogs....

Cheers,
Haaruitval VrouwenLevensverzekering-MaatschappijBerekenen PensioenKoolhydraten Dieet

 
At 7:58 PM, Blogger ROGERSBIZ said...

blog nzuri.

 
At 11:53 AM, Anonymous Elisa said...

nice article!

 
At 8:11 PM, Blogger CT said...

Hi,
I recently came across your blog and have been reading along. I thought I would leave my first comment. Great post, concise and easy to understand. I like this post..
I found out that this blog is very interesting and informative.
Best of luck to you!

Cheers,
Health and Lifestyle
Improve Golf Swing
Top Fishing Games
Pearl Necklaces

 
At 5:22 PM, Blogger dannicash said...

Hi! What language do yours? Just curious!!

 
At 7:07 PM, Anonymous Anonymous said...

Ndugu zangu,
Ninakumbuka kwamba mtandao huu uliendesha kampeni za Askofu Severine NimweMugizi, wakati wa mchakato wa kutafuta Askofu Mkuu wa Tabora. Sasa kuna mchakato mwingine wa kutafuta Askofu Mkuu wa Mwanza. Upepo unavyokwenda, inawezekana, Severine, akachaguliwa kuwa Askofu Mkuu wa Mwanza. Sababu zilizotufanya kumpiga vita wakati ule bado ni zile zile. Na zimeongezeka, huyu ni mkabila sana! Amkeni, tupige kelele za kupinga chakato wa kumfanya Askofu Mkuu, mtu mwenye familia na watoto, lakini pia mtu mwenye ukabila.

 
At 4:34 PM, Blogger Zul said...

Hi there. Keep it up for a good job.You really have a lot of nice blog here. Lots of information. I have read and passed on this info to my friends as well.

Cheers!
fivezull
One Drop Perfumes
Free Movies
Online Degrees
Higoat

 
At 4:35 PM, Blogger 雪糕 said...

If you can not be kind, at least have the decency to be vague.............................................

 
At 8:07 AM, Blogger Adli Yusof said...

Hi,

A lot of informative content here. Good sharing with your readers and visitors. Keep it up this amazing work

Cheers,
caillou party supplies | best spyware removal

 
At 5:53 AM, Blogger ernie said...

Hi,

Nice post! Your content is very valuable to me and just make it as my reference. Keep blogging with new post!

Cheers,
caillou videos | caillou games

 
At 6:57 AM, Blogger 無尾熊可愛 said...

wonderful...................................................

 
At 3:03 PM, Blogger 曉豪 said...

從人生中拿走友誼,猶如從生活中移走陽光..................................................

 
At 12:51 PM, Blogger an said...

Hi,

Nice post and very informative. Thanks for the great sharing.

Cheers,
homemade body scrub

 
At 7:22 AM, Blogger 寶皓寶皓 said...

好的部落格就要和好朋友分享--感謝分享........................................

 
At 8:46 AM, Blogger 童紫勳 said...

但行好事,莫問前程. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .

 
At 3:26 PM, Blogger TommyStark0109佩政 said...

Many a little makes a mickle.......................................................

 
At 9:46 AM, Blogger Myrle14778 said...

I love readding, and thanks for your artical. ........................................

 
At 9:46 AM, Blogger 采瑩 said...

到處逛逛~~來繞繞留個言囉~~~~........................................

 
At 11:09 AM, Blogger 蘇pet0701em_halvorsen said...

Nice post ~ 3Q..............................................................

 
At 11:21 AM, Blogger 淑婷 said...

Nice post ~ 3Q..............................................................

 
At 4:17 AM, Blogger 清民 said...

才華在逆境中展現,在順境中被掩藏。.............................................

 
At 7:20 PM, Blogger 韋于倫成 said...

生存乃是不斷地在內心與靈魂交戰;寫作是坐著審判自己。..................................................

 
At 7:20 PM, Blogger 韋于倫成 said...

死亡是悲哀的,但活得不快樂更悲哀。..................................................

 
At 6:06 PM, Anonymous watergate salad said...

Hi,
I recently came across your blog and have been reading along. I thought I would leave my first comment. Great post, concise and easy to understand.

 
At 9:42 AM, Blogger 天光天光 said...

自然是上帝的藝術。......................................................

 
At 11:14 AM, Blogger 雅婷 said...

我們不是因為快樂而歌唱,而是唱歌使我們快樂........................................

 
At 1:15 PM, Blogger 玫友 said...

Many a true word is spoken in jest...................................................................

 
At 10:02 AM, Blogger 柯凡豐 said...

It is never too late to learn. .................................................................

 
At 10:06 AM, Blogger 江婷 said...

知識可以傳授,智慧卻不行。每個人必須成為他自己。.................................................................

 
At 9:38 AM, Blogger 于庭 said...

成熟,就是有能力適應生活中的模糊。.................................................................

 
At 1:04 PM, Blogger 文婷文婷 said...

認清問題就等於已經解決了一半的問題。.................................................................

 
At 1:53 AM, Blogger 香昱信張君林 said...

人不可以求其備,必捨其所短,取其所長............................................................

 
At 3:02 PM, Blogger 承蘋承蘋 said...

Offence is the best defence...................................................

 
At 6:02 AM, Blogger 于倫 said...

first catch your hare, then cook him. ..................................................

 
At 1:33 PM, Blogger 吳婷婷 said...

很耐斯的部落格,留言支持你繼續加油..................................................................

 
At 8:14 AM, Blogger 莊雅和莊雅和莊雅和 said...

每日都有新日光,每日都有新希望。..................................................

 
At 5:35 AM, Blogger 林宜欣 said...

好看耶~一定每天有空給你支持............................................................

 
At 2:15 AM, Anonymous james said...

Hey Guys. This writeup is marvelous!! Me and my wife totally love this this writer's words
Hotels cove
marina cove
best cove

 
At 6:16 AM, Blogger 逸蔡凡逸蔡凡逸蔡凡 said...

世間事沒有一樣沒有困難,只要有信心去做,至少可以做出一些成績。..................................................

 
At 9:33 AM, Blogger 姿弘綸穎 said...

傻氣的人喜歡給心 雖然每次都被笑了卻得到了別人的心..................................................................

 
At 7:58 AM, Blogger 亦奈美妮 said...

All roads lead to Rome. 堅持自己所選!............................................................

 
At 3:04 AM, Blogger 韓志張人豪豪 said...

良言一句三冬暖,惡語傷人六月寒。............................................................

 
At 4:47 AM, Blogger 鐘王惠文美惠 said...

未來的幸福是用現在買來的。.. ... ............................................................

 
At 6:41 AM, Blogger 316 said...

安安唷~~幸運的日子送給妳(你)滿滿的幸福,也祝福你天天都開心唷............................................................

 
At 9:48 AM, Blogger 316 said...

認真的看完~~幫你推一下............................................................

 
At 3:43 PM, Blogger 怡靜怡靜怡靜怡雯 said...

很精彩的部落格 期待你的繼續加油............................................................

 
At 7:21 AM, Blogger HKjiqi said...

文章雖然普通,但意義卻很大~~^^~~ ..................................................

 
At 5:14 PM, Blogger adam bin ismail said...

Great! Good information to share with others,i like it very much,thanks....

http://black-eyed-peas-team.blogspot.com
http://nascar-2011.blogspot.com
http://digital-cameras-stores.blogspot.com
http://computer-desktop.blogspot.com
http://view-cyber-shot.blogspot.com
http://sterling-silver-hoop-earrings.blogspot.com

 

Post a Comment

<< Home

KITABU CHA WAGENI